MAGDALENA (7)

Jpt
MAGDALENA (7)
JINA: MAGDALENA Mwandishi: Isack Kalindi SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... “Joka leo siondoki hapa nyumbani kwako hadi umenieleza una tatizo gani.Nataka unieleze kwa kina sababu ya kutaka kuniacha ghafla bila kosa lolote wala sababu yoyote alihoji kwa hasira Magdalena TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE SASA ENDELEA... “Naomba ujaribu kuwa muelewa kwa sasa, baadae utanielewa tu, utajua kipi kimefanya niamue ivi '' aliongea Joka huku akijutia kitendo cha kusex na bi edina sasa aliona maisha yake kama yapo nusu kuzimu “Please Joka..achana na mambo hayo nacho taka kujua ni sababu za kuniacha ” Magdalena akasema huku .Joka akamuangalia halafu akasema “Ok nitakwambia” • Joka akasimama akazunguka mle chumbani .Chumba kilikuwa kimya kabisa.Hakuna aliyekuwa akiongea kati yao.Mlio uliosikika ulikuwa wa saa ya ukutani iliyokuwa ikizidi kuisogeza mishale .Joka akashika kichwa akitafakari ni jinsi gani aanze kumweleza ukweli Magdalena “I have to do it no matter what” Joka akawaza akaenda na kuegemea m…