MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (25)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (25)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO TULIPOISHIA... Kila siku jioni ilikuwa ni lazima watoke wakatembee wale na kunywa kwa furaha Kila Gwakisa alipopata nafasi ya kutoka basi alikuwa anawaletea zawadi nyingi sana ikiwemo nguo na vitu vingine vingi tu vya kupendeza. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Ofisini kwa Verity kila mtu alikuwa anamuonea wivu jinsi ambavyo alionekana kupendwa na mume wake. Alikuwa analetwa asubuhi na gari na jioni anafwatwa kurudishwa nyumbani na Gwakisa huyuhuyu bila kumtuma mtu. Siku zilisogea kidogo na siku moja ambayo haikuwa na taarifa Verity alishtuka kupewa funguo za gari. “Hii ni yako baby…utakuwa unaendesha mwenyewe kwenda kokote” Verity alibaki mdomo wazi akiitazama Harrier Mpya ikiwa imepaki ukumbini huku iking’aa kwa upya wake…. “Waoooh baby mbona siamini, ni lakwangu kweli” “Ni lako mke wangu…I LOVE YOU” Gwakisa alimwambia Verity ambaye hakut…