Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Je atamuacha mke wake? Je atamfukuza mtoto nyumbani ama atafanyaje?
Kuna wakati alitamani asingeamua kupima akaishi tu akiamini ni mtoto wake kuliko atakapoujua ukweli kabisa.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Alimuangalia Yule mtoto pale pembeni anavyojisikia furaha akimuona Baba yake anaendesha gari, alifikiria jinsi mtoto anavyompenda hadi kuwa nae siku zote bila kumkumbuka mama yake alafu leo aambiwe sio wake atafanyaje?
Moyo ulimuuma sana lakini mwisho akaamua ni lazima amalize kazi aliyoianza.
Safari ya Hospitali iliendelea na hapa tayari walikuwa Mwenge, waliendelea na barabara ya Ali Hassan Mwinyi mpaka walipofika eneo linaitwa Victoria kisha wakakunja kushoto hadi ndani ndani huko ilipokuwa hiyo hospitali.
Alishuka kwenye gari akamchukua mtoto wake akamuweka begani kisha akafika mapokezi ambapo simu ilipigwa kwa wahusika.
“Kaka naomba ukae wanasema utaitwa baada ya robo saa”
Gwakisa alikaa kwenye kiti bila wasiwasi huku mwanae akiwa kamlalia mapajani.
Baada ya dakika kama kumi hivi Yule dada pale mapokezi alimuita na kumwambia kuwa anahitajika kwa daktari wake.
Gwakisa alimchukua mwanae kwa kumshika mkono wakatembea mpaka kule ilipokuwa ofisi ya daktari aliyewahudumia.
“karibuni sana mketi”
“Asante sana”
“Totooo jambo”
“Jambo”
Sasa ndugu Gwakisa Ambikile majibu yako yako tayari na tunakuomba uingie chumba hiki hapa kuna wataalamu uonane nao kwanza kabla sijakupa majibu.
Mawasiliano kati ya Sam na Rafiki yeliendelea vizuri tu japo hayakuwa imara kama awali, siku zote Rafiki alikuwa ndie wakkwanza kumtafuta Sam lakini moyo ule ulianza kupotea na alikuwa anamtafuta kutimiza wajibu tu.
Mambo mengi yalikuwa yamemkatisha tama lakini kubwa likiwa kitendo cha Mme wake kuwa na mawasiliano ya karibu sana na Verity.
Jambo jingine ni jinsi ambavyo hawapati mtoto na kugundulika tatizo lipo kwa mme wake, alikuwa tayari kumvumilia mpaka tatizo lile lipone lakini kinachomuumiza ni tabia ya Sam kutokuwa mwaminifu.
Akiwa anawaza haya yote simu yake iliita na mpigaji alikuwa ni Dr Kelvin.
Waliongea mengi sana ikiwa ni pamoja na hatua tatizo lao lilipofikia. Dr kelvin alikuwa anaongea kistaarabu sana na mpaka wanamaliza mazungumzo hakutamka jambo lolote la kimapenzi.
Kitendo hiki hadi Rafiki alikishangaa kwani kwa jinsi alivyokuwa anamjua Dr Kelvin na tabia yake mbaya alijua basi siku hiyo angeombwa “naniliu”.
“Haya dada nikutakie siku njema na Mungu awasaidie tatizo lenu liishe”
Dr Kelvin alimalizia kwa kusema hivyo
Kwenye akili ya Dr Kelvin alikuwa amepanga mkakati wa kumnasa Rafiki, katika mkakati wake aliamua kutokuwa na haraka, alijua kuwa kwa kufanya hivi ataonekana kuwa sio mtu mrahisi na mpenda hayo mambo hivyo anajenga kwanza kuaminika.
Ukweli ni kwamba Rafiki alibaki kaduwaa kweli kweli kwani alitaka achokozwe kidogo ili apunguze machungu ya Sam japo swala la kusaliti kabisa ndoa yake bado lilikuwa gumu kuafikiwa kwenye moyo japo kuchokozwa kidogo alitamani ili nae ajione anadai.
Kesho yake Rafiki akiwa kazini kwake alipokea simu nyingine ya Dr Kelvin.
“Haloo niko hapa nje ya ofisini kwenu”
“We mutu umekuja kufanya nini huku?”
“Kwani ofisi zenu huwa hazihudumii binadamu au mimi sistahili huduma zenu”
“Mh haya bhana, karibu”
“Njoo hapa nje unisalimie”
Rafiki aliwaza kidogo kisha akauliza “Uko na nani”
“Niko na mke wangu njoo umsalimie mfahamiane”
Rafiki kusikia vile alishtuka kidogo kisha akaona asipoenda ataeleweka vibaya ni bora aende tu.
Alitoka nje na kukuta gari imepaki karibu na geti huku Dr Kelvin akiwa ametoa kichwa dirishani.
Rafiki alisogea pale akamsalimia kwa adabu zote lakini cha ajabu hakumuona huyo mke wad r kelvin.
“Huyo mkeo yuko wapi sasa?”
“Nilikuwa nakutania bhana, mke wangu yuko nje ya nchi anasoma”
“Hujatulia kabisa wewe”
“Sio kweli… twende ukapate breakfast kidogo”
Rafiki hakukataa kwasababu kwanza ndio ilikuwa mida ya chai hivyo alichoma ndani ya gari na kuelekea kwenye mgahawa ambapo walipata kifungua kinywa kilicholipwa na Dr Kelvin.
Walipomaliza Dr Kelvin alimpeleka mpaka ofisini kisha yeye akarudi kwenye kazi yake.
Siku hii tena Dr Kelvin wala hakumwambia Rafiki mambo yoyote mabaya, hadi Rafiki anafika ofisini alikuwa anawaza na kuamini kuwa huenda Dr Kelvin ameamua kubadilika.
Usiku rafiki akiwa anajiandaa kulala alipigiwa simu na Dr Kelvin ambapo waliongea mambo mengi sana kisha Dr Kelvin akaanza uchokozi wake.
“Hivi siku ile kule hospitali ulijisikiaje?” aliuliza Dr Kelvin
“Nilijisikia vibaya”
“Basi ungekubali tu tumalize ungejisikia vibaya zaidi”
“Walaaa siwezi kukubali, yani nikubali ili nijisikie vibaya zaidi”
Waliendelea kuchokozana na katika mambo ambayo Rafiki alikuwa hajui ni kwamba Dr Kelvin alikuwa mtaalam wa mapenzi mpaka ya mdomoni, yani mapenzi ya kuongea.
Alimpelekesha Rafiki kwenye simu mpaka ikafika wakati akawa anamvua nguo moja moja anaweka pembeni, anamtomasa, anamchezea sehemu nyeti mpaka ikulu kisha anampanua miguu na kuingiza mashine yake.
Anamkatikia viuno na kumbadililishia style mbali mbali hadi Rafiki anakojoa kabisa.
Haya yote yanafanyika kupitia kwenye simu.
Ilifika hatua Rafiki akakojoa kweli huku anamwambia Dr Kelvin kuwa anakojoa.
Siku ile iliisha kwa Rafiki kuwa amejisikia rah asana kukatwa kiu yake.
Ilifika hatua kwamba kila siku kabla Ya kulala Rafiki na Dr kelvin wanaongea na simu hata masaa matatu.
Mchezo huu Sam aliushtukia kuwa kuna mtu anaongea na mkewe kila siku usiku tena kwa mda mrefu kwani kila alipokuwa anampigia simu ilikuwa inatumika.
Baada ya hapo Rafiki anamtafuta na kuongea nae haraka haraka kisha anakata na hapo Sam akipiga tena anakuta inatumika kuonyesha kuwa alikata tu ili amalizane na Sam alafu aendelee na watu wake.
Kitendo hiki kilimuumiza Sam lakini akaamua kukaa kimya tu.
Pamoja na Dr Kelvin kuongea mengi na Rafiki kwenye simu lakini alipotaka kuomba mzigo atusue alikuwa ananyimwa. Rafiki hakuwa tayari kufanya mapenzi nje ya ndoa yake mubashara kabisa, roho ilikuwa inamsuta sana.
Dr Kelvin nae aliendelea kukomaa na safari hii alikuja na gia ya kumzalisha.
Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kutoa siri za ndani kwao pindi wanapokuwa na mahusiano ya nje.
Rafiki alishamuhadithia DR Kelvin kila kitu kuhusu mumewe, alishamwambia kuwa Sam ana mtoto na Verity na hapa Dr kelvin akaamua kupatumia kama mwanya wa kufungia goli.
“Hivi mumeo asipopona unajua wewe utabaki mgumba”
“Kwahiyo sasa”
“Kwahiyo nini? Sema nikuzalishe allafu mumeo akija nampima namwambia kuwa amepona ilia one kuwa mimba ni yake”
“Bado hujanishawishi”
“Nisikilize vizuri, mwenzio yeye hana shida kwasababu tayari ana mtoto na nikwambie kila mtu ataona wewe ndio una tatizo kwasababu mwenzako tayari ana mtoto, ina maana huna hamu ya kunyonyesha wewe”
“Ninayo lakini lazima nizae na mume wangu, ikishindikana basi”
“Nisikilize kwa makini, ninyi wanawake sio kama wanaume, wewe kadiri umri unavyoenda uwezo wako wa kuzaa unapungua, shauri yako mwenzako atapona wewe tayari umeshapitisha umri wa kuzaa ataenda kuzaa tena nje”
Kwa mbali Rafiki alikuwa anaanza kutekwa na maongezi ya Dr Kelvin, alitaka kumwambia ameridhia ombi lake lakini anasita akabaki anakaa kimya tu.
Dr Kelvin hili aliligundua hivyo alichomwambia ni kuwa ajiandae kesho jioni atampitia waende sehemu.
Rafiki aliitikia kwa kusema “sawa” kumaanisha kuwa ameridhia.
………………………………..
Gwakisa alikuwa kwenye chumba maalum cha ushauri nasaha.
Katika mambo ambayo alikuwa hajui ni kwamba swala la DNA huwa unapewa kwanza ushauri nasaha kabla ya kupewa majibu kama vile umeenda kupima VVU.
Alipewa ushauri mwingi unaohusiana na kama atagundua kuwa mtoto si wake ama akiwa wake ninini afanye ili asije akaleta madhara.
Gwakisa aliitikia kwa kumaanisha ameelewa kisha akaruhusiwa kurudi kwa Dr sasa akapewe majibu yake.
Moyo ulikuwa unamdunda sana mpaka akawa anajutia kwanini alikuja kufanya hiyo test.
Alipokaa vizuri Yule Dr alichukua makaratasi yaliyokuwa pale mezani na kumkabidhi Gwakisa.
Gwakisa haraka haraka alianza kupitisha macho akisoma kile kilichoandikwa lakini akawa haelewi vizuri maneno yale ya kitaaluma.
“Dr nifafanulie”
“Sawa usijali, sogea hapa karibu”
Gwakisa alisogea na kuanza kusomewa maandishi yote na maana yake halisi.
Gwakisa hakuamini masikio yake pale alipoambiwa kuwa vinasaba vyake na vya mtoto vilikuwa haviendani kabisa na hivyo mtoto Yule sio damu yake.
“Nilijua tu” aliropoka Gwakisa.
Yule Dr alibaki amemuangalia tu Gwakisa aliyekuwa kajiinamia huku machozi yanamwagika usoni, hakuamini kuwa mwanajeshi kama yeye tena Afisa wa Jeshi kuna wakati atatoa machozi yake.
Alikuwa anaemia sana moyoni huku akimlaani mkewe kwanini amemfanyia mambo mabaya kama hayo.
“Ndugu wala usilie, haya yaliyokukuta yanawakuta wanaume wengi sana, wengine huko majumbani wanalea watoto sio wao ila ni vile tu hawajapima, sasa wewe kwakuwa umejua tuliza moyo ujipange lisije likatokea tena”
“Dadiii lia nini?” masikini ka Princess nako kalikuwa kanatoa machozi kalivyomuona baba yake analia, hakuelewa kilichokuwa kinaendelea kuwa kinamuhusu.
Gwakisa alinyanyua uso akamwangalia Yule mtoto kisha akamnyakua na kutoka nae bila hata kuaga,
Alipofika nje aliingia kwenye gari na kuelekea hotelini.
Alichukua vitu vyake na hakutaka kulala siku hiyo akaamua kurudi mbeya.
Alipofika Morogoro karibu na Stendi ya Msamvu alisimamishwa na baadhi ya vijana wakamwomba kuwa kuna dada anaomba ampakie kwani anaenda Mbeya ila amekosa Basi.
Gwakisa alijifikiria ila alipomuona mdada mwenyewe alimkubalia kwani hata hivyo ndio kawaida ya hapo Morogoro na alishawahi kupakia watu mara nyingi tu huku wakichangia mafuta.
Yule dada alipanda kwenye gari wakatambulishana vizuri kisha safari ikaanza, maongezi yalikuwa yanaendelea japo kwa kusua sua sana kwani Gwakisa alikuwa na mawazo yake hivyo Yule dada muda mwingi alikuwa anaongea na Princess wakichekeshana.
Kuna wakati ulifika Gwakisa nae akawa anavutiwa na maongezi ya Princess na Yule Binti kiasi kwamba akawa anajisikia kucheka.
Safari iliendelea huku Gwakisa akimchunguza huyu dada na kugundua kuwa alikuwa mrembo kwelikweli, alikuwa mrembo kuliko hata Verity, kuliko hata wanawake wengi aliowahi kukutana nao.
Alipomuona nguo yake imepanda juu kidogo na sehemu ya Paja kuonekana kidogo ndio kabisa aliamini kuwa huyu dada hakuwa wa kawaida.
Alikuwa mrembo kupitiliza, kwanza alikuwa kama chotara flani hivi.
Gwakisa hakuweza kukaa kimya?
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)
