MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (26)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (26)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA TULIPOISHIA... Je atamuacha mke wake? Je atamfukuza mtoto nyumbani ama atafanyaje? Kuna wakati alitamani asingeamua kupima akaishi tu akiamini ni mtoto wake kuliko atakapoujua ukweli kabisa. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Alimuangalia Yule mtoto pale pembeni anavyojisikia furaha akimuona Baba yake anaendesha gari, alifikiria jinsi mtoto anavyompenda hadi kuwa nae siku zote bila kumkumbuka mama yake alafu leo aambiwe sio wake atafanyaje? Moyo ulimuuma sana lakini mwisho akaamua ni lazima amalize kazi aliyoianza. Safari ya Hospitali iliendelea na hapa tayari walikuwa Mwenge , waliendelea na barabara ya Ali Hassan Mwinyi mpaka walipofika eneo linaitwa Victoria kisha wakakunja kushoto hadi ndani ndani huko ilipokuwa hiyo hospitali. Alishuka kwenye gari akamchukua mtoto wake akamuweka begani kisha akafika mapokezi ambapo simu ilipigwa kwa wa…