MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (27) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA TULIPOISHIA... Alipomuona nguo yake imepanda juu kidogo na sehemu ya Paja kuonekana kidogo ndio kabisa aliamini kuwa huyu dada hakuwa wa kawaida. Alikuwa mrembo kupitiliza, kwanza alikuwa kama chotara flani hivi. Gwakisa hakuweza kukaa kimya? IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... “Dada umeniambia wewe ni mwenyeji wa Mbeya ?” “Hapana niko kikazi tu?” “Okey unafanya kazi gani?” “Mimi ni askari polisi” “Ahhhh acha utani bhana, askari gani yuko hivyo” “Kwani nikoje? Tena mimi niko kikosi cha FFU ” “Duh aloo siamini kabisa, anyway na mimi ni askari wa JWTZ ” “aaaah nilijua tu, huo mwili wa kijeshi kabisa” “Kumbee najulisha kabisa” “Haswaaa” Maongezi yalikuwa yamenoga sasa kiasi kwamba ilibidi Gwakisa apunguze mwendo ilia pate muda wa kutosha kupiga story na huyu dada. Story zilinoga mpaka wanafika Mbeya saa tano usiku Gwakisa akaamua kumpeleka huyu dada mpaka…