MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (28) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE TULIPOISHIA... Waliendelea mpaka mpakani na Kongo wakakutana na watu wengine waliowakabidhi mzigo na kurudi nao mpaka Mbeya mjini kisha wakaagana kwa lengo kila mtu aende kwake baada ya kufikisha mzigo panapotakiwa. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... ‘ngoja kidogo Gwakisa ’ Gwakisa alitulia asikilize anachoambiwa lakini cha ajabu alifwatwa mdomoni na kupewa denda ambalo liliibua tena hisia zake ambapo alianza kupitisha mikono yake kwenye maziwa ya Yule dada. “Subiri wewe hapa njiani ” aliambiwa Gwakisa na kutoa mikono yako, “Nenda kwako lakini utakachokutana nacho usishtuke, kama utakuwa na maswali utaniuliza siku tukikutana ila usishtuke kila kitu ni salama tu na hakuna kibaya” Gwakisa alianza kuogopa lakini akiwa anawaza Tayri Yule dada alishashuka na kutokomea zake. Kwa hofu Gwakisa aliendesha Gari mpaka kwake na kukuta kumefungwa na haku…