MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (29)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (29)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA TULIPOISHIA... Walimkanda na maji ya moto pia kisha wakamfunga vizuri na kumpakia kwenye gari mpaka nje kwake kisha wao wakarudi na gari nyingine waliyoambatana nayo. Jinsi gwakisa alivyoingia pale kwake kila mtu alishangaa, aliondoka bila taarifa na alipotafutwa hakupatikana alafu anarudi akiwa kwenye hali hii. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Baba yake Mkwe na Mama yake Mkwe walimuweka chini na kumuuliza kilichomkuta kule alikoenda na hapohapo Gwakisa akajua jinsi ya kupata uongo. Aliwaeleza kuwa alipokuwa kwenye harakati za kumtafuta mtoto nae aliishia kutekwa na watu asiowajua wakampeleka sehemu yenye maficho kisha wakaanza kumtesa kwa kumpiga sehemu mbalimbali za mwili wake. Aliwaeleza kuwa wale watu walimwambia kuwa endapo ataendelea kumfwatilia Yule mtoto basi wataua familia nzima. ………………………………………… Asubuhi na mapema Sam aliamka ili…