MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (30) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI TULIPOISHIA... Lakini pia Jeshi la polisi lilikuwa limeikomalia kweli kweli kwani Yule mtoto alikuwa ni mjukuu wa RPC hivyo walihusianisha kupotea kwake na mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na visasi labda dhidi ya majeshi ya ulinzi na usalama. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Ingekuwa watu waliomteka huyu mtoto wangekuwa ni wa kawaida tu basi angekuwa ameshapatikana lakini mpaka wakati huu kila walichokihisi na kukifwatilia waliishia kwenye hakuna. Pamoja na kutangaza dau nono kwa atakayesaidia kupatikana kwa mtoto, kutangaza magazetini kwenye TV na media zingine lakini bado hakuna kilichowezekana. Mtoto alikuwa hajapatikana bado. Verity ndani ya siku tatu za kupotelewa na mwanae alikuwa hali wala hanywi, alikonda ndani ya muda mfupi kwani stress zilimzidi. Ndoa yake nayo ilikuwa kwenye hali sio nzuri japo mume wake alikuwa mpole tu lakini al…