MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (31)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (31)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI NA MOJA TULIPOISHIA... Kitendo hiki kilimfanya Rafiki aanze kujinyonga na kutanua miguu yake huku akiwa anatamani kama vile avuliwe nguo. Dr kelvin alilielewa hili akaamua kuitoa chupi ya Rafiki na kupandisha nguo yake juu kisha mapaja mazuri meupe ya Rafiki yakawa wazi. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Aliponyanyuka avue zake akakuta sura ya mtu ikiwa imekodoa macho kule ndani kwa hasira za kufura………… Sam aliondoka hospitalini kwa kutoroka akielekea kule hospitali kwa lengo la kuonana na mke wake amuombe msamaha. Alifika hospitalini huku anahema sana kwa kukimbia kwani hakutakiwa aonekane kwa askari wengine ambao wangeweza kumpa taarifa RPC . Alipofika pale hospitali ilibidi apenyeze rupia kidogo kwa walinzi ili wamruhusu kupita kwani muda wa kutazama wagonjwa ulikuwa umekwisha. Alizama mpaka ndani akaulizia alipolazwa mke wake akaonyeshwa. Wale…