MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (33)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (33)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI NA TATU TULIPOISHIA... Gwakisa aliingia huku kashikilia Bunduki yake, alizama taratibu na wala Yule mwanamke hakumuona kwani wakati huu alikuwa kalewa kavaa kanga tu alafu anakata mauno ya mziki huu huku akiwa amekumbatia ukuta. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Gwakisa alimsogelea huyu mwanamke bila kujijua kisha akamgusisha Bunduki kisogoni kisha kwa sauti nzito nay a kukoroma akamwambia…. “Hivyo hivyo ulivyo, ukileta ubishi nafyatua ubongo wote nje, piga magoti chini” “Gwakisa unataka kufanya nini mpenzi” “Sina upenzi na wewe, fwata amri la sivyo sitakuwa na mazungumzo tena” Yule mwanamke poombe zote zilimuisha akajikuta amepiga magoti bila kupenda, “Haya geuka huku nilipo” Yule dada aligeuka “Sitaki masihara, nataka kujua wapi alipo mwanangu, nataka nimuone na nimpeleka kwa mke wangu la sivyo uhai wako ni halali yangu” “Gwakisa unasemaje, unaju…