MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (35)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (35)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI NA TANO TULIPOISHIA... Rafiki alisimama akapandisha suruali yake kisha akambusu mme wake na kumlaza kwenye mapaja yake kisha akamwambia … “asante sana mme wangu sasa nawewe lala kidogo” Sam alilala kweli na usingizi ukamchukua huku safari ikiwa inaendelea, alilala huku Rafiki akitumia muda huo kumsugua sugua IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Gwakisa alishtuka kwani kofi lilimuingia vilivyo, aligeuka haraka akitaka amkwide Verity lakini akaishia njiani baada ya kukutana na Verity aliyekuwa analia kwa kwikwi! “Hivi mimi nina mikosi gani jamani…nimepoteza mtoto, mme wangu kawa hanisi hivi nitapata mwingine kweli” “Verity acha kuongea maneno hayo” “Nisiongee vipi, nikae kimya kwa lipi sasa, siwezi siwezi kukaa kimya wakati sina mtoto alafu mme mwenyewe hanisi” katika madhaifu ambayo Verity alikuwa nayo ni hasira, kukosa subira na uropokaji Kwa haya …