MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (36)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (36)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA THERATHINI NA SITA TULIPOISHIA... Alikuwa ni mwanamke mrembo kweli ambaye alikuwa na ngozi nyeupe pee na laini hata kwa kuitazama tu. Huyu hakuwa mwingine bali ni Yule Yule dada Askari, alimuangalia Gwakisa kwa macho ya kurembua lakini alikutana na uso wenye makunyanzi kweli kweli. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Gwakisa alikuwa ni mwanaume mweusi ti titiii! Alikuwa na mwili mkubwa uliojengeka kimazoezi lakini pia sura yake ilikuwa ngumu kweli. Kama ingekuwa ni mwanamke mwenye wasiwasi na mambo yake kwa kuiona tu ile sura ya Gwakisa angekuwa ameshaanza kutokwa jasho lakini haikuwa kwa bidada Yule. “Karibu Gwakisa, lakini kuwa mpole tafadhali usije ukaumia” “Unasemaje wewe msen..ge” “Okey, kama mimi ni mseng..e sawa…lakini angalia vizuri usije ukawa wewe ndio msen..ge” Kwa hasira Gwakisa aliruka kwa nguvu pale kitandani amkabe Yule dada lakini cha ajabu al…