MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (44) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA NNE TULIPOISHIA... Verity alikuwa amefurahishwa sana na penzi la mme wake akawa anajutia kwa kukosa uvumilivu siku zote kumbe kwa mme wake kuna mambo matamu kiasi kile. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Alishindwa kuvumilia akainua kichwa chake akakilaza kwenye kifua cha Gwakisa na kumwambia … “Asante sana mme wangu nakupenda sana” Gwakisa hakujibu neon ila alipelaka mkono wake hadi kwenye kichwa cha mkewe akawa anamkuna nywele zake ishara ya huba na upendo. Hazikuisha dakika nyingi joto lao likawa limepanda tena, hawakuwa na cha kuzuia kwani wao ni mke na mume ikabidi wapeane tena, walipeana haswa mpaka kila mmoja akajiona amechoka na kisha wakapumzika baada ya kuoga vizuri. Baada ya muda kidogo walipitiwa na usingizi wakalala fofofo, walikuja kuamka baadae sana usiku ukiwa umeshaingia wakaamua kutoka waende kula mtaani. Wakiwa mtaani wamekaa …