MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (45) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA TANO TULIPOISHIA... Alipofika alienda moja kwa moja hosteli kwao kwani giza lilikuwa limeshaingia, alimpigia Simu na kumuomba atoke waonane. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... “Vipi kaka mbona Kimya kimya leo, hata kuntaarifu kabla kwema kweli“ “Kwema tu, vipi masomo yanaendaje?” “Yako poa, ” “Ingia kwenye gari tukaongee kidogo” Glory ambaye ni mdogo wake Sam aliingia kwenye gari kisha wakaondoka wakaelekea kwenye sehemu inayouzwa vyakula na vinywaji wakakaa humo. “Nipe Whisky alafu msikilize na huyu” Sam aliagiza Pombe “Naomba savannah ya Baridi” aliagiza Glory. “Agiza chakula unachotaka ule” Glory aliagiza Chipsi Kuku kisha wakaendelea kunywa na kuzungumza… “Vipi Wifi hajambo?” “Hajambo yupo” “Mbona leo hujatoka nae?” “Anasema amechoka” Waliendelea kunywa hadi pale chakula kilipoletwa wakala na kuendelea kunywa, Sam alikuwa amemaliza ile Whisky na sas…