MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (46)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (46)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA SITA TULIPOISHIA... Hatimaye walifika hospitali na kukaa kwenye foleni ambapo baada ya muda kidogo alikuja Nesi na kutoa tangazo… “Walioambatana na waume zao wasogee mbele” IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Verity na Gwakisa walinyanyuka na kusogea mbele na kujikuta wakiwa wa Kwanza kwenye foleni na kisha kuingia ndani… “Hongera sana Baba kwa kuambatana na mkeo…” “Asante sana, mimi ni mwanaume ninayetambua wajibu wangu…” alijibu Gwakisa kwa mbwembwe… Haya kabla ya kila kitu itabidi mpime afya zenu wote kwa pamoja… Sam alijiona mwenye hatia sana, aliumia moyoni kwa jinsi ambavyo amemtenda mkewe huku akiwa hana hatia, “Hivi huyu mwanamke atanielewa kweli? Hii ni mara ya ngapi namfanyia ukatili wa kutisha kiasi hiki?” Sam alijiuliza mwenyewe bila kupata majibu ya wapi anakoitoa roho mbaya kiasi hicho. Alijiuliza ataingia na gia gani kwa mkewe mpaka a…