MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (47) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA SABA TULIPOISHIA... “Wifi nimegundua kitu” “Kitu gani?” “Kaka anaogopa kuongea nawewe kwasababu nimemwambia umefariki, anahofia kuongea na mtu ambaye ameambiwa kafa” IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Nisha alikuwa amejilaza kitandani ameshikilia tumbo lake anawaza jinsi Sam alivyomtenda, hasira ilikuwa imemkaba kooni kiasi cha kumfanya awe anatetemeka. Hapo hapo alichukua simu yake na kutafuta baadhi ya namba na kuzipiga… “Haloo” “sema bosi” “Kuna kazi nataka muifanye” “Lete kazi bosi maana njaa kali sana saivi umetutupa kweli siku hizi hutoi kazi kabisa” “Ndio nawapa kazi sasa” Waliongea mengi sana na hao watu wake lakini mwisho NISHA alimalizia kwa kuwaambia kuwa … “Baada ya wiki mbili watamaliza mafunzo hivyo muwe makini akishuka tu hapo airport mmalizeni kabisa” “Usijali Bosi kazi ndogo sana hiyo” Wale watu wa NISHA kwa shida ya pesa walizokuwa na…