MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (49) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA TISA TULIPOISHIA... Ukweli kaka mtu alijua kabisa kuwa maisha ya Glory yamepatana sana na hali ya Mbeya na chuo kimempenda pia. “Mdogo wangu kumbe wewe ni mzuri kiasi hiki?” “Sasa je? Ulitaka uwe mzuri peke yako tu eenh..hata mimi nawatingisha eti” IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Walicheka kwa pamoja baada ya utani huo kati yaa mutu na mdogo wake. …………………………………. Hakuna kitu kilichomkera NISHA kama kuona Sam ameshindikana kukamatwa, alikasirika hadi machozi yakamtoka. Wakati akiwa na hasira zake simu yake ilitoa mlio wa meseji ndipo akaifungua na kugundua kuwa ni ya WhattsApp. Aliona video ikiwa imetumwa kwenye group lao la marafiki akaifungua. Hapo alishika mdomo baada ya kumuona Sam akishusha kichapo kitakatifu kwa watu wake na kugundua kuwa Sam amekuwa mkali kama moto wa kifuu. Hasira zaidi zilimkamata na kuchukua bastola yake… “najua ameshar…