MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (50) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA HAMSINI TULIPOISHIA... Kwakuwa aliikuwa amefanana sana na mwanae japo alikuwa wa kiume ilikuwa Rahisi sana kumwambia Gwakisa kuwa ni mwanae na Gwakisa hakukataa kwani hata hivyo alikuwa na hamu sana ya kuitwa baba baada ya kusingiziwa mtoto wa kwanza. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Verity aliamua kumpa Gwakisa Yule mtoto kwani alijua bila hivyo Gwakisa atazeeka bila kuitwa baba lakini pia Dr Kelvin alishafariki hivyo mtoto wake angeyakosa mapenzi ya baba. Gwakisa pamoja na kutengana na Verity lakini alikuwa anamtembelea na kumpa mahitaji yote kwani kulingana na Verity kujifungua kwa Operation ilibidi akae bila kazi kwa muda mrefu. Hatimaye mpaka Verity anatoka ndani baada ya kumaliza maternity alikuwa amenona na kupendeza sana. Urembo wake ulirudi mara dufu zaidi ya awali, stress za kuwa muathirika alishazizoea na kuona ni ugonjwa wa kawaida tu, semi…