MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (51)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (51)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA TULIPOISHIA... Katika kulisimamia hili aliamua kujiweka bize sana na kazi zake za ofisini pamoja na miradi mbali mbali, swala la starehe aliliweka kando akawa ni mtu wa sala kila wakati. Pamoja na hayo maamuzi yake lakini kupendeza kwake na muonekano alioupata akiwa kama binti ambaye hajawahi hata kuzaa mbele ya macho ya watu ikawa ni mtihani. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Wanaume wengi walimtaka sana kimapenzi. Kuna wakati aliona kero na kutamani hata kutotoka nje ili asikutane na wanaume wasumbufu lakini isingewezekana, kazi na miradi yake ilikuwa ni lazima atoke nje akaisimamie. Kwakuwa alikuwa na oda ya kupeleka kuku wa Nyama kwenye mahoteli mengi akawa anakutana na aina tofauti ya watu wakiwemo wanaume wakwere. Siku moja akiwa kwenye kazi zake akiwa anatoka kuonana na mteja wake ambaye alikuwa anamdai fedha hapo hapo akakutana na …