MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (52)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (52)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA HAMSINI NA MBILI TULIPOISHIA... “Sawa nimekubali lakini ni vizuri sasa tukija kwenye mada yenyewe.” Sam alivuta pumzi ndefu kisha akaamua kuweka mambo wazi… “Shemeji kwanza nimeamini kuwa damu ni nzito kuliko maji kwa hiki nilichokiona hapa” IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... “Unamaanisha nini?” “Shemeji huyu mtoto ulivyomuangalia nimeona kabisa umebadilika moja kwa moja” “Enhee nakusikiliza” “Kwahiyo nimeamini kuwa kweli damu ni nzito kuliko maji” “Shemeji unajua sikuelewi kabisa” “Nice” “Yes Dady” “Huyu ni mama yako” “Sam umesemaje?” Verity aliuliza huku kasimama wima “Mungu wangu!” Verity alitokwa na machozi yaliyomwagika kama mvua, bila kuchelewa alimnynyua Nice na kumuweka kifuani kwake huku anamlowanisha na machozi. “Oooh Sam kwanini umenifanyia yote haya, kwanini ulimficha mwanangu siku zote hizo, kwanini umenitenga na furaha yangu kwa muda wote huo Sam” Ver…