MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (53)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (53)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA HAMSINI NA TATU TULIPOISHIA... “Mungu wangu, Verity huyu ni NICE wako?” “Ndio huyoo dada. Yani mungu ni Mkubwa!” “Yalaaaaa jamani Sam anajua kufanana na watoto wake jamaniiiii!” Kauli ile ilimshtua Verity mno kwani hata siku mooja hawajawahi kukubaliana na Rafiki kuwa kweli Yule mtoto ni wa Sam! IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Wakati huohuo mtoto wa Rafiki nae alifika akiwa anatokea usingizini, walipokuwa wawili pale ndio ilikuwa kama photocopy. Wanafanana kama vile watoto wa Baba na Mama mmoja! Taratibu furaha yote aliyokuwa nayo Rafiki ikapotea ghafla, alijikuta akiumia sana rohoni na kujenga chuki ambayo hakuwahi kuwa nayo kabla. Kwenye akili yake alijisemea kuwa ni heri huyo mtoto asingeonekana kuliko hivi ambavyo amerudi na kukumbusha kidonda chake. “Bora angekufa tu” Alijisemea Rafiki moyoni. Verity ndani ya akili yake alishaisoma akili ya dada yake n…