MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (55)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (55)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA HAMSINI NA TANO TULIPOISHIA... “Naomba tuongee yale mambo ili niwahi kurudi nyumbani” “Sawa Glory” Dr Kanji alikata funda mbili za mvinyo glasi ikawa nyeupe akamimina nyingine na kunywa kidogo kisha akawa anamtazama glory kwa macho ya upole yenye hisia kali. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Dr Kanji kwa sauti ya upole iliyojaa utulivu alianza kwa kumsimulia Glory historia ya maisha yake tangu anazaliwa hadi pale alipofikia. Ilikuwa ni historia nzito inayovutia sana ambayo ilimfanya Glory amsikilize kwa hisia kali sana, akili ya Glory haikuwaza tena kuhusu kuondoka kwani hisia zake zilitekwa na kile alichokuwa anakisikia kutoka kwa Dr Kanji. Katika umri wa miaka 34 aliyokuwa nayo Dr Kanji tayari alikuwa na PHD huku akimiliki kampuni yake ya uagizaji wa Bidhaa za magari kutoka Ng’ambo. Kikubwa kilichomteka Glory ni historia nzima ya dr Kanji tangu utoto, al…