MY EVA (1)

Zephiline F Ezekiel
MY EVA (1)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KWANZA Eva alikua ameingia darasani kwa siku yake ya kwanza baada ya kuripot kama mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa HGL Katika Kenna high school. Alipoingia hakuna aliejali ujio wake maana wote walikua wageni hakuna aliekuana na mazoea na mwenzie.alitazama huku na kule akaona kiti kimoja kiko wazi. Alisogea karibu na kiti kile kisha akavuta na meza iliyo karibu yake akaweka madaftari yake na vifaa vyake vingine akakaa na kushusha pumzi. Akiwa amekaa mara aliingia kijana mmoja(danny) ambae nae pia alikua mwanafunzi wa darasa hilo..alipoangalia sana akamwona Eva pale kwenye kiti ambacho ni chake yeye Alisoge pale alipokua Eva kisha akasema: Danny: wewe mbona umenirithi kabla sijafa? Eva aligeuka na kumwangalia anaemsemesha kwa sura ya uchovu halafu akanyamaza tu kama hajasikia lolote. Danny akakasirika kisha akarudia tena kusema: Danny: we mtoto mbona umekaa kwenye kiti changu?.. Hunisikii au kiburi?. Eva: nani mtoto?.. Usinifanye nikatalir kweny…

Maoni 2

  1. Unknown
    Hey
    1. Zephiline F Ezekiel
      Naam