MY EVA (12)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Eva, danny na miriam walikutana na kuahidiana kuivalia njuga ile kesi Danny aliapia kuhakikisha eva anawapata waliosababisha kifo cha wazaz wake... SASA ENDELEA.. Mama danny....aliita victor... Abeee... Tunamtokomezaje huyu eva...aliulza victor. Mm hata mm sijapata njia....ngoja kwanza tuone... Siku chache zilipita....Jamira alipata ugonjwa wa ghafla. Alikua akisumbuliwa na matatizo ya moyo. Alikua anajiskia vibaya sana...alipelekwa hospitali lakin hali yake ilikua mbaya sana.. Aliagiza mwanasheria wake aje....akamkabidhi wosia wake alkijua kua asingeweza kupona....mda wote huo eva alikua ma mawazo meng sana maana jamira ni mtu muhim kwake... Siku jamira anaugua,,eva alikua kalala nyumban kwa jamira sku hyo....hvyo hata pale hospitali alikuepo Jamira alimwita eva....alimwangalia kwa huruma maana alijua atakua mpweke, na watu wenye hila mbaya watamdhuru...machoz yalimtoka jamira.... Eva mdogo wangu....nataman sana uzibe pengo lan…