MY EVA (13)

0
JINA: MY EVA
SEHEMU YA KUMI NA TATU
ILIPOISHIA...
Eva, danny na miriam walikutana na kuahidiana kuivalia njuga ile kesi
Danny aliapia kuhakikisha eva anawapata waliosababisha kifo cha wazaz wake...

SASA ENDELEA..
Mama danny....aliita victor...
Abeee...
Tunamtokomezaje huyu eva...aliulza victor.
Mm hata mm sijapata njia....ngoja kwanza tuone...

Siku chache zilipita....Jamira alipata ugonjwa wa ghafla.
Alikua akisumbuliwa na matatizo ya moyo.
Alikua anajiskia vibaya sana...alipelekwa hospitali lakin hali yake ilikua mbaya sana..

Aliagiza mwanasheria wake aje....akamkabidhi wosia wake alkijua kua asingeweza kupona....mda wote huo eva alikua ma mawazo meng sana maana jamira ni mtu muhim kwake...

Siku jamira anaugua,,eva alikua kalala nyumban kwa jamira sku hyo....hvyo hata pale hospitali alikuepo

Jamira alimwita eva....alimwangalia kwa huruma maana alijua atakua mpweke, na watu wenye hila mbaya watamdhuru...machoz yalimtoka jamira....

Eva mdogo wangu....nataman sana uzibe pengo langu kwenye tasnia ya sanaa....lakn mda ushaniacha....jikaze ufike kiwango hcho...jikaze mdg wang..

Baada ya kusema hayo jamira akafarik...
Eva aliangua kilio had watu wakashtuka...alilia kwa uchungu mkubwa sana.....alijihis asiye na bahat...
========================================================

Baada ya mazish kuisha..wosia wa marehem uliletwa na mwanasheria wake....aliusoma na watu wakaukubal...lakn kipengele kimoja tu kiliwashtua watu....

Baadhi ya mali muhim za jamira...aliagizwa apewe eva...ndugu za jamira hawakupendezwa ingawa wawakusema...walibak kuumia ndan kwa ndan...

Habar zile ziliwafikia victor na mkewe...wakikasirishwa sana...
Mara rachel alimwambia mmewe ana wazo....
Lip mama danny..?
Tuwatafte hao ndug tuwashawish watuunge mkono..
Unataka kufanya nn rachel?
Inabid tumzushie eva mitandaon kua alihusika na kifo cha jamira ili apate zle mali maana jamira aliwah kumuahid...alisema mama danny
Mmh itawezekana?

Hyo ndo njia pekee baba danny..jamii sio mahakama kwamba kuamin had ipate ushahid....halaf watu wataamin maana jamira alikufa ghafla na wakat huo eva alikua kwake.

Mmmh mpango mzur...halaf......aliulza victor
Sasa hapo itakua mwisho wa eva maana mashabik wa jamira watamchukia....halaf n weng sana...hii itafanya kaz zake zikose soko na mikataba yake na makampun makubwa inaweza kusitishwa ili wasije wakapata hasara...alisema rachel.

Mmmh hyo nzur nimeipenda..alisema victor
=======================

Walifanikisha kuwashawish ndugu za jamira waliokua na
chuki na eva....wakashirikiana nao.
Walihonga pesa kwa wamiliki wa kurasa maaruf zilizokua na watu weng kwnye mitandao ya kijamii ili kuvumisha uongo wao...

Walifanikiwa kupta support kubwa maana watu kweny hela akil huwaruka....

Walisambaza habar ile kwakisingizio kua wanasisiasikia...kama uvumi vile....ili wasije wakakamatwa kutoa ushahid...

Walizisambaza picha za eva alizokua akiongea na daktar aliyemtibu jamira...kwamba et mda huo ndo alikua akimshawish daktar amtie sindano ya sumu...

Eva alikua na danny kipind anakutana na ile habar mtandaon....akutokana na mshtuko eva alioteza faham...danny akampeleka hospitali.....
Akiwa hospitali miriam na wazaz wake walikuja kumjulia hali....victor na mkewe nao walikuja pia....
Danny alishangazwa na ujio wa wazaz wake pale...maana anajua kua hawampend eva...ila alifkr labda wamebadilika...

Walimkuta eva ameshazinduka....
Eva pole mwanangu...alijisemesha mama danny...
Pole eva....victor alioongeza..
Yaan watu wazush kwel....wanataka kukuharibia tu..

Victor na rachel walifanya hvyo ili wasishtukiwe na danny...
Eva alijua kua hapa lazma kuna kitu wazaz wa danny wanahusika....
Aliwaangalia....nyuso zao zilikua zmejaa unafk...

Walimwita danny na kuvunga kama wanaskitishwa sana na ule uzush...
Danny alijua tu wanadanganya....alijua wamefurahishwa na tatzo la eva...
Ila kamwe hakuwaza kama ndio wazushaji wakuu...

USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA NNE

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)