MY EVA (14)

Zephiline F Ezekiel
MY EVA (14)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Victor na mkew walikua wakivunga kua na huzun mbele ya danny... Danny alijua tu ni waongo....wamefrahia matatzo ya eva..ila kamwe hakuwaza kama wao ndio wahusika... SASA ENDELEA.. Baada ya eva kutoka hospitali,,miriam alikuja...danny alikua kazin mda huo... Usilie eva...miriam alimbembeleza. Sijui ni nan kayazusha haya na ni kwasababu gani....alisema miriam. Mm nahs ni ndugu wa dada jamira.....maana hawakupenda mm kurith baadhi ya mali za ndugu yao....alisema eva.. Mmh huenda ndo wao...alisema miriam. Wakiwa wanaongea hapo,miriam aliingia mitandao mbalimbali ya kijamii....kulikua na mabishano makali juu ya ule uvumish.. Mashabik wa jamira alikua wakitoa kaul chaf kwa hasira "Atakufa tu na yeye mbwa huyu" "Hana shukran,, yan jamira ndo kamfikisha hapo halaf anamfanyia vile!! Ama kwel shukrana ya punda n mateke"" Zilikua baadhi ya kaul za shabik wa jamira....walikua na hasira sana na eva.... Mashabik wa eva …