MY EVA (20)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... Danny aliamua kwenda moja kwa moja baada ya kuona sim haipokelewi... Mda huohuo victor nae alikua akianza safar pamoja na watu wake... Kazmoto nae alikua anaanza safar na watu wake... SASA ENDELEA.. We danny mbona unahema kama unafukuzwa?...aliulza eva baada ya kumfungulia mlango Danny... Eva unatakiwa utoke hapa sasahiv...alisema danny huku anahema... Kwan una nini danny ... We twende utajua mbele ya safar....alisema danny huku alimvuta eva mkono waondoke... Mara ghafla taa ilizimwa kukawa giza... Nani wewe???.... Alijihami eva kwa uoga. Danny alimvuta eva kweny kona....victor akajua eva anakwepa...akapiga risas lakin ilimkosa eva.. Ile wanajarib kukimbia ilipigwa risas nyingne... Mara ghafla danny alishindwa kutembea.....risas ilikua imempata yy badala ya eva. Danny!!!!!!!!.... Danny.... Daniiiiiiiiiiii!!!...alilia eva kwa saut kubwa.. Victor alishtuka kusikia vile.... Danny???!!!... Danny mwanangu au...alijiuliza victor kama haam…