AISEE KUMBE RAHA (12)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Nikajikuta nikipandwa na hasira za ghafla kwa catherini ambaye maneno yale nilikuwa na uhakika mkubwa kuwa ndie yeye ndio atakuwa amemwambia chiku habari zile. Nikajikuta nikinywea na kubaki nikiwaangalia chiku na yule jamaa na palepale nikajikuta nikiingia katika dimbwi zito la mawazo ya ghafla na kusahau kabisa kilichonileta. SASA ENDELEA... "Wee msenge hebu ondoka kabisa maana umetuharibia starehe zetu kabisa."ghafla yule jamaa aliyekuwa na chiku ambaye naye mara ya kwanza alitulia kimya baada ya kugundua kama alikuwa amefumania akaniambia maneno yale ambayo yalikatisha mawazo yangu ya ghafla na kuibua hasira zangu na kujikuta nikimuangalia kwa hasira kali. "Unasemaje wewe.??"mwanaume nikamuuliza kama vile sikusikia vile nilichoambia na safari ile nilikuwa kishari kabisa.yule jamaa akanyanyuka na kuvaa boxer yake iliyokuwa chini maana baada ya kuona mimi nimeingia alijiziba na shuka kisha kwa…