AISEE KUMBE RAHA (13)

Zephiline F Ezekiel
AISEE KUMBE RAHA (13)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... "Huyu mwanamke namchukia sana na Leo usikuu huu Facebook nzima itamjua na instagram"nikajisemea maneno yale kwa nguvu kama nimechanganyika na bila ya kupoteza muda........ SASA ENDELEA... KWA WASOMAJI WAPYA Naitwa pablo daniel ni kijana mwenye asili ya kitanga kabisa licha kuzaliwa morogoro mji kasoro bahari.hakika vuguvugu la mapenzi kwangu lilikuwa ni tofauti kabisa hasa baada ya kujikuta nikiingia mtego ambao ulikuwa ni ngumu kutoka.mtego huo ulikuwa ni baada ya kujikuta nikitembea na mama chiku mama ambaye mwanae chiku nilikuwa na mahusiano naye ya siri hali ambayo ilipelekea mimi kufumwa na chiku mwenyewe akiwa na mashoga zake wawili catherini na suzan ambao nao wakasababisha nizidi kuingia katika mtego baada ya kuomba msaada wa kuombewa masamaha jambo ambalo nilimuomba suzan rafiki kipenzi wa chiku hali iliyosababisha suzan kuniomba penzi ikiwa njia ya yeye kuniombea msamaha kwa chiku na kujikuta nik…