AISEE KUMBE RAHA (15)

Zephiline F Ezekiel
AISEE KUMBE RAHA (15)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Mama akamwambia mama chiku maneno ambayo hata mimi niliyasikia kisha mama taratibu akanisogelea na kunishika mkono nakuanza kuondoka na kuwaacha mama chiku akiwa na binti yake chiku mama catherini na catherini mwenyewe ambaye alikuwa akiangalia chini muda wote kutokana na aibu ambayo imemkuta baada ya mimi kuvujisha picha zake nikiambatanisha na picha zake ambazo nilimpiga wakati nilipomuwekea dawa ya usingizi katika kinywaji chake kisha nikaingia naye gesti nakufanya naye mapenzi bila ya yeye kujitambua. SASA ENDELEA... Safari yetu mimi na mama ikaishia nyumbani ambapo mama aliendelea kumshukuru mungu kwa sababu alikuwa na mashaka sana baada ya mimi kuingia katika mtego ambao yeye alipoambia alikataa kata kata kwa sababu yakuniamini sana mimi kijana wake.Baada ya muda kidogo mwanaume nikaenda kuoga na baada ya kumaliza nikavaa nguo zangu nzuri za kupendeza kisha nikachukua simu yangu nakuandika namba za simu za su…