AISEE KUMBE RAHA (19)

Zephiline F Ezekiel
AISEE KUMBE RAHA (19)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... Maneno ya Baba yaliniacha nikiwa sina cha kusema nikajikuta nikibaki Namuangalia baba huku nikiwa siamini kama nimeweza kuwaelewesha baba na Mama bila ya kutumia Nguvu nyingi bila ya wao kunikazia sana.Na hakika sikuwa na La kuongea baada ya baba kuniambia nikaanze maisha mapya morogoro kwa sababu ya ile soo ya mimi kupigwa picha.............. SASA ENDELEA... Harakati na safari ya mimi kuamia morogoro ikaanza haraka na sasa ile ile baba akaanza kuwasiliana na watu anaowajua ili wanatafutie Chumba cha kuishi katika madhari mazuri ambayo chumba kitakuwa karibu sana na Chumbani.Hakika yale yote yalioendelea sikuyategemea kabisa kwamba ingekuwa haraka haraka kiasi kile ambacho wala sikutegemea lengo la mimi kuamia morogoro haraka ni kuondoa hali ile ya mimi kudharirika katika jamii baada ya picha zangu kuwa zinazidi kusambazwa katika jamii picha ambacho mimi nilikuwa mtupu kabisa na kutangazwa kuwa mimi ni shoga na hat…