AISEE KUMBE RAHA (2)

Zephiline F Ezekiel
AISEE KUMBE RAHA (2)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Ni sura moja tu niliyekuwa naijua sura ambayo ilikuwa ni ya mwanamke mrembo ambaye ndiye aliyenigusa bega Hakuwa si mwingine bali ni CHIKU......... SASA ENDELEA... Macho ya chiku malegevu yalitosha kabisa kunikumbusha Kale kamchezo kafupi tuliofanya kwao lakini hatukafanikiwa kukimaliza Baada ya Mama yake Kurudi na kukatisha Mchezo ule.Hali ya halmashauri yangu ya kitendea Kazi kilianza kuleta uchokozi kwa kunyanyuka Baada ya chiku aliyekuwa ndani ya tabasamu nzito na Macho malegevu huku akiniangalia Kunipa mkono wake mlaini kwa lengo la kunisalimia Na Mimi tu nilipoupokea kwa Lengo kukabali salamu yake Ndipo karoti yangu ilipoanza kunyanyuka kidogo. "Enhee Mambo??"Chiku bila ya kusita akavunja ukimya uliokuwepo ndani ya muda mfupi kwa kunisalimia Huku tukiwa bado tumeshikana mikono na mimi bila hata ya kuitikia Nikaunyanyua mkono wake ule wa kulia mkono uliokuwa hauna hata kovu na kuupeleka katika Mdomo wangu na …