AISEE KUMBE RAHA (4)

Zephiline F Ezekiel
AISEE KUMBE RAHA (4)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Nikiwa katika hali ya kupoteza mawazo Ghafla Namba niliyopewa na suzani aliyenipa kwa kuninong'oneza wakati chiku ananitambulisha kwa Mashoga zake nikaikumbuka na haraka haraka nikaiandika nakuipiga ikaaita kidogo kisha ikapokelewa. "Halooow" "Halooo naniii??" "Aaaaaaa mimi pabloo"................... SASA ENDELEA... " oooo jamani sasa ndio umefanya nini pablo umtembea hadi na Mama yake chiku hivi hauoni haya umalaya gani sasa huo" "Hamna chiku yule Mama amenilazimisha sana kwanza alinikuta wapi ujue amenikuta palepale kituoni yeye yupo kwenye taxi akaniita kwakuwa mimi namjua Mama chiki nikapanda akanihaidi kwanza tupitie sehemu kisha atanipeleka nyumbani hee nashangaa akanipeleka pale gesti mara akaanza kunikombatia na Akaanza kuninyonya nyie ndio mnatokea" "Mmmmh Basi makubwa limama lile lote umeenda naye raundi ngapi.?"suzan akaniuliza swali ambalo likasababisha …