AISEE KUMBE RAHA (9)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... Nikaenda haraka sehemu ya picha kuzingalia zile picha bahati nzuri nilipoziangalia nikakutana na zile picha za catherini akiwa mtupu nikajikuta nikitoa tabasamu hafifu kisha haraka nikawasha data na kuonganisha kwenye internet ambapo taratibu nikaingia ukurasa wa facebook na kuingia katika ukurasa wa page iliyokuwa ikipitiwa na watu wengi tayari kabisa kuziposti picha za catherini akiwa mtupu. "Hahaha sasa amekwisha nyau huyu mdogo"........... SASA ENDELEA... Nikajikuta mwanaume nikishusha pumzi ndefu baada ya picha zile kuziseti vizuri na zikaa kabisa kupostiwa katika ukurasa wa facebook nikajikuta nikiachia tabasamu pana baada ya kubakisha sehemu moja tu ambayo iliandikwa post ikimaanisha tuma yani nikibonyeza hapo basi picha zile ambazo nilikuwa nishaziweka sehemu ile ambazo zilikuwa kama kumi basi zilikuwa zinaenda na kuonekana katika ukurasa mkubwa wa facebook. ‘’mojaaa……mbili……….tatu….nn…eee tan…..’’mwanaume …