MAMA MWENYE NYUMBA (1)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (1)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ijumaa usiku saa nne kasolo, nje ya kidogo ya jiji la dar es salaam, mtaa wa M'buyuni kibamba ccm, ndani ya nyumba moja kubwa sana iliyo zungushiwa ukuta mkubwa (fensi) na nyumba nyingine ndogo tatu za vyumba viwili na sebule za kupangisha, na moja iliyo kuwa na chumba kimoja tu! licha kujengwa kwaajili ya mlizi lakini nacho kilipangishwa. Binti mmoja mrembo sana mwenye miaka 28, anayeitwa Suzana, mtaani vijana umwita Suzana mahips kutokana na jinsi mwiliwake ulivyo, maana amejaliwa umbo namba nane, ilikipambwa na mapaja manene na makalio makubwa sana, ilifikia kipindi vijana wakolofi uwa wana piga miluzi, asa wakimwona anapita mtaani akitembea kwa miguu, kitendo kilicho sababisha aweanashindwa kushuka ndani ya gali lake aina ya totota lav 4, ata anaponunua kitu kama gazeti au mboga za majani, nyama kwenye mabucha, samaki, uwa ana agiza akiwa ndani ya gari ,bahati nzuri kwakea wadau wenye kuuza vitu hivyo pale mt…