MAMA MWENYE NYUMBA (13)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Wakaongozana kuelekea ndani ya hotel hiyo, walipita hukumbi wa chakula na vinywaji, wakanyoosha kwenye kimlango kidogo, ambapo Edgar alimwona mama Sophy akiponye vinamba kisha ule mlango uka funguka kama wa daladala SASA ENDELEA... Wakaingia ndani kisha akabonyeza tena mlango ukajifunga, sekunde chache baadae ukajifungua, wakatoka nakuufwata mlango ulio andikwa Nairobi , mama Sophy akatoa funguo nakufungua malangohuo wakaingia ndani, kiukweli kilikuwa chumba kikubwa na kizuri sana chenye kila kitu pamoja na makochi kama sebuleni, Edgar akaenda nakukaa kwenye kochi moja, akimwacha mama Sophy akachukuwa taulo na kuingia bafuni, hapo Edgar akaikodolea macho TV ambayo likuwa ikionyesha marudio ya mpira wa miguu , mama Sophi alitumia dakika kama tano kule bafuni kisha akatoka amejifunga taulo, huku akionyesha kuwa hakuwa na nguo nyingine, Edgar akainuka alaka toka kwenye kochi, “samahani mama, sikujuwa kama una..u…