MAMA MWENYE NYUMBA (44)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA AROBAINI NA NNE ILIPOISHIA... “Ahsante kwa kunijari mume wangu” alisema Suzan akipokea ule mfuko na kuuweka vizuri, wakaondoa gari kupitia kwenye bucha la mnyama la ras, kwaajili ya kununua nyama ya kula siku yaleo SASA ENDELEA... Mama sophia baada ya kuakikisha ame weka mipango yake vizuri, akavaa kanga moja tena bila kuvaa ata chupi, akamtuma binti yake wakazi aende kwenye ile grosali ya jirani, akanunue bia za kutosha aziweke kwenye friji, maana anamjuwa mume wake uwa awezi kufanya mapenzi bila kunywa pombe, kisha yeye mwenyewe akaingia jikoni na kuanza kuandaa chakula mahalumu kwa yeye na mume wake, ata mzee Mashaka alipo fika pale nyumbani, alimkuta mke wake akiendelea na mapishi akisaidiwa na binti wakazi, alipo mtazama jinsi alivyo vaa akajikuta ata dudu ina sisimka, akizingatia mke wake amesha mwambia kuwa leo anatamani dudu, tena amebaniwa kwa miezi mitatu ukijumlisha na ile ambayo yeye alikuwa analeta pozi, ilikaribia mwaka…