MAMA MWENYE NYUMBA (48)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (48)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA AROBAINI NA NANE ILIPOISHIA... Hapo jamaa mmoja aka kaa kusho kwake na mwingine kulia kwake moja aka kaa mbele na mzee Mashaka ambae ndie aliekuwa anaendesha gari, kitendo bila uchelewa gari likaondolewa “mzee simu yake hii hapa” SASA ENDELEA... Alisema yule jamaa alie mnyang’anya simu Edgar, huku akimkabizi mzee mashaka ile simu, na mzee mashaka akaiweka kwenye mkebe wa gari pale kwenye dash board, “huyu ndie mshemshenzi anae jifanya kidume, yani demu amebadilika kishenzi, ata utamu ana nizungusha kwasababu yake” alisema mzee mashaka akikamata bara bara ya morogoro na kukanyaga mafuta kama gari la police lina fukuza mwizi, “ukaona aitoshi uka mcnganya na mwangu, yani wewe mb..o yako ina simama sana au?” aliongea tena mzee Mashaka kwa hasira kari, huku amekanyaga mafuta vibaya sana, gario lilikuwa lina karibia speed mia ishrini kwa saa, “jibu wewe mjinga,” alisema yule jamaa wa pembeni kushoto kwake, akimzibua na kofi la utosini Hapo …