MAMA MWENYE NYUMBA (51)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (51)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA ILIPOISHIA... Ambao wame amuwa kupumzika hapa ili kesho mapema waendelee na safari, wao walielekea moja kwa moja upande wa sehemu yakupata huduma ya chakula SASA ENDELEA... “Ningekuwa peke yangu sijuwi inge kuwaje” alisema Rose wakati wanaingia mle ndani na kuchagua sehemu nzuri ya kukaa, na kuagiza chakula Tumbi hospitali Sophia alikuwa anarudi toka kibamba kituo cha polisi , baada ya kuagizwa na mama yake aende akaliangalie begi la baba yake, akiamini kuwa yeye akuweza kuliona labda ni kwasababu alikuwa amechanganyikiwa, lakini Sophia nayeye hakuliona kabisa ilo begi, ambalo analifahamu vizuri sana, akiwa anaingia pale hospitali taratibu huku akitafakari kilicho mtokea baba yake huku mawazo ya kuwa mama tyake pia ametembea na Edgar yakimjia kichwani, kiukweli alizidi kuchanganyikiwa binti huyu, anakujikuta akimvaa mgonjwa mmoja aliekuwa anapishana nae “We! dada vipi ebu tazama mbele bwana”alifoka dada mmoja ambae aliku…