MAMA MWENYE NYUMBA (52)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAMSINI NA MBILI ILIPOISHIA... Ilikuwa saa sita usiku, ndipo Edgar na Rose walipo shauliana wakapumzike chumbani, maana mida ilisha watupa mkono na safari yao bado ilikuwa ndefu sana SASA ENDELEA... Wakiwa wamechangamka kwa mvinyo wakainuka na kuelekea mapokezi wakaandika majina yao nakuchukuwa ufunguo, wakaelekezwa chumba walicho takiwa kuwepo usiku ule, dakika chache baadae wakawa ndani ya chumba kile huku chupa mmoja ya mvinyo wakiwa nayo mkonono mzima kabisa aijafunguliwa na chupa nyingine ime baki kidogo sana, safari hii awakuwa na grasi, ile kuingia chumbani na kufunga mlango tu kosa Rose akafungua mkoba wake na kutoa chupi moja nyekundu aina ya bikini akairushia kitandani, kisha akatoa kanga na kuirushia kitandani, hapo akaanza kuvua viatu vyake vya visigino vilefu vyenye mikanda kisha akavua tishert yake nakubaki na sidilia, akiruhusu tumbo lake dogo kuonekana, kisha akakamata kisikizo cha suluali yake na kuaza kukifungua, aki…