MAMA MWENYE NYUMBA (63)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (63)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA SITINI NA TATU ILIPOISHIA... Alisema bwana Magige akiwa na uakika kabisa mke wake hato elewa kitu, huku ana fungua sms nyingine toka kwa Anifah SASA ENDELEA... ‘Sijawai kukutania toka ume nisusa, lakini ukweli ndio huo, demu wako kicheche,’ alimaliza kuisoma na kuifuta, huku moyoni akiuguria maumivu ya wivu akiisi kuwa mida hiyo Rose ana shughulika na mtu mwingine, yani wivu ulio mpata kuliko angekuwa amesikia kuwa mke wake ndie anamsaliti Baada ya pewa maagizo na mkuuwake wakazi, moja kwamoja Said akaelewa mkuu wake huyo anamaanisha nini, maana alikuwa anaujuwa huusiano haramu wa mkuu wake na mrembo Rose ambae kwa upande mwingine nayeye ni afande wake pia, Said ambae mida hiyo alikuwa ndani ya nyumba yake line Polisi quarters (kotaz), akaondoka mala moja akiwa amevalia kptulah yake ya kaki, na tishert ya man chester united , akaenda kituoni aliko liweka gari la boss wake, safari za kumsaka Rose ambae ndie afisa wa zamu, kituo cha kwan…