MAMA MWENYE NYUMBA (64)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA SITINI NA NNE ILIPOISHIA... Wakati huo bwana magige alikuwa sebuleni na mke wake, “haaaa kazi nyingine hizi ni usumbufu sana” alisema mzee Magige akisimama huku akijisonya sonya SASA ENDELEA... “Vipi tena mwnzetu?” aliuliza mke wake ambae alikuwa nae pale sebuleni waki tazama Tv, “kuna zarula huko kazini wacha kwanza nika waskilize mala moja” alisema mzee Magige akiinuka na kuelekea chumbani, ambako alibadilisha nguo na kuvaa nguo nadhifu za kiraia na viatu vyeusi, pia akachukuwa basora ya ke aina ya revolve , akatazama kama ilikuwa na Risasi, akaziona zipo kumi, akaisundika kwenye kiumo chake usawa wa lisani, akachukuwa kifia yake kubwa ya muara, waswahili wanaita pama , alaiweka kichwani likifunika nusu ya uso wake, kisha aka akatoka chumbani na kuaga kwa mke wake, alafu akatoka nje, ilikuwa ina elekea saa tano na nusu za usiku Wakati huo huo gari lake la kazini lilikuwa linaingia kwenye uwanja wa nyumba yake kubwa ya kisasa, liliposi…