MAMA MWENYE NYUMBA (65)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA HAPA ILIPOISHIA... “Lakini yule dada anafaidi mweee! lakini siyo mbaya nika kuwa mke mwenzake” aliwaza Rose huku macho yake yapo kwenye mlango wa hotel, akitalajia kumwona Edgar akija kumwita wakapeane dudu, lakini akastuka kumwona Said akitoka kwenye ile hotel SASA ENDELEA... “Mh! huyu amefwata nini hapa” Rose anamfahamu vizuri sana said, kwani Said licha ya kuwa dereva wa mzee Madige, pia ndie kibasha wa mzee Magige pale anapotaka kumpelekea mzigo wowote kwa Rose, kwahiyo Rose pia alikuwa anafahamu kuwa Said anafahamu yote kuhusu mahusiano yake na afande wake Magige, “atakuwa ameshtukia huyu, lazima atamwambia Magige,” alijisemea Rose akimwangalia Saidi akitembea haraka haraka kutoka nje ya Hotel Rose alipotazama mbele ya Said yangi ng’ambo ya barabara, akaliona gari la boss wake ya afande Magige Chacha, hapo Rose akajuwa hakuna usalama, maana Said asinge weza kutumia gari hilo usiku namna hii bila kibari toka kwa mzee Magige, “amet…