MAMA MWENYE NYUMBA (67)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (67)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA SITINI NA SABA ILIPOISHIA... Wakiwa mezani wana pata supuwawli tu! mala wakamwona dada mkubwa wa Edgar akitoka chumbani huku akiwa amevalia gauni lake pana lamoja kwa moja, huku amejitanda upande mmoja wa kitenge alicho pewa na mama yake SASA ENDELEA... “Habari wifi,” alisalimia Suzan lakini dada yake Edgar akapita kimya kimya, bila kuitia, kwamwendo wa fujo huku akiliza sendo zake, paa! paa! paa! nusu amgonga binti wakazi alie kuwa anatokea nje kuja ndani, “utazani huoni, mama akiamkamwambie mume wangu amenipigia simu kumbe yupo Hospital nimeendea kumwona”alisema mke wa bwana Kazole na kutoka zake nje, Edgar akujali sana ila Suzane alishangaa sana, “usijari Suzie, nime mzowea huyo” alisema Edgar huku akiendelea kula viazi vya kuchemsha na maziwa “Mh! lakini inapendza sana pale mtu anapoelewana na ndugu wa mume wake” alisema Suzan huku kwenye Tv walikuwa wakitangaza tukio lililo tokea jana usiku Nyumbani Lodge , “mh! kumbe na huku Song…