MAMA MWENYE NYUMBA (70)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA SABINI ILIPOISHIA... “Afadhari, dah! alitaka kuni changanya huyu kichaa” alisema Suzane akimwambia Edgar, ambae mda wote alikuwa anaendesha gari huku akifwatilia maongezi ya mke wake, “nani huyo sophia?” aliuliza Edgar SASA ENDELEA... “Ndiyo eti alisema anataka kuamia Songea ,” hapo Edgar na yeye aka cheka kidogo, una cheka unazani mazuri hayo?” alisema Suzan akimpiga kikofi kidogo Edgar, kwenye bega lake la kushoto, Edgar akaachia tena kicheko “kwahiyo mwezi wa tano tunafunga ndoa?” aliuliza tena Edgar baada ya kumaliza kucheka, “ndio, una taka mpaka tupate mtoto mwingine akute bado atujafunga ndoa, alafu mwanamke wako amejifungua mtoto wa kiume” aliuliza Suzane huku akifungua data, kwenye simu yake, zikaanza kuingia messeji za whatsap kwenye simu yake, akaanza kuzi soma na kuzi jibu, nyingi zilikuwa za kumpongeza, kutokana na kujifungua, kasolo moja tu! ilitoka kwa Joyce, ikimjulisha kuwa amejifungua mtoto wa kike, Suzane akaisoma k…