MTAA WA TATU (10)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (10)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... Mama yako ni mwanajeshi yule hasira zikamshika na kuanza kuwapiga mawifi zake yani alimkamata nywele mmoja na kuzing'oa hakika aliwapiga vibaya sana Mpaka baba yako anafika pale kumtuliza mkewe Shangazi yako mmoja kang'olewa meno mawili ya mbele"..... NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... "Familia zikaitwa kikao kikawekwa Mama yako akaulizwa sababu ya kuwapiga mawifi zake watatu. Akajibu kila kitu, Baba yako nae akasimama na kuwauliza dada zake je kuna mmoja wao mwenye mtoto jibu hakuna, akasema naomba mniache na mke wangu Tupate mtoto au tusipate ni mipango ya Mungu Nikaona sio vyema mama yako kuteseka nikaa…