MTAA WA TATU (11)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (11)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... “Shika adabu yako mwenyewe kwanza ukumbuki wakati tunafika pale Hafidhi alitamka nini kumwambia yule bibi" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Wakati wanaongea washafika nyumbani kila mmoja akaingia ndani kufika ukumbini Hafidhi akaja kukumbatiwa na Salma “whaoo kaka yangu wanguvu huyoo".... Leo tunaugeni my dear brother njoo uwone" basi Hafidhi akajongea mpaka sebuleni na kukutana na mabinti warembo sijui mamiss maana ni warembo balaa Mwanaume moyo ukaanza kupwita ameshatamani dodo. "Assalam alaykum? Hafidhi akaanza kusalimia hivyo huku akikaa kwenye sofa vizuri, “waaleykum ssalam vipi umzima wew…