MTAA WA TATU (12)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Shida tupu baada kuona style ya Merantau haifui dafu akachenji na kutumia Style ya Fighting fishi and bounce . NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Hapo sasa Gwanta wakaisoma number yule aliyekuwa akienda kwa kasi na kuinama kabla ya kuinama anakutana na kifuti cha uso yule anaeruka juu nae anaruka na kumfumua teke kibadach, Dakika si nyingi mchezo kwisha kazi hakuna cha Gwanta wala kwata Mwanaume kafinya wote akaenda kumbeba Sharifa kwa nia ya kuondoka nae. ile anamnyanyua tu kikosi kutoka mtaa wa tatu ndio wanaingiza team Hafidhi akabaki kucheka tu “ha!ha!ha!ha! Ankor nawe umo kwenye Askari wa kibongo majambazi w…