MTAA WA TATU (13)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (13)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Basi mmoja kati yao akaenda kumfata Hafidhi kitendo cha kunyoosha mkono eti amshike Akajikuta anadakwa na kuvunjwa shingo kwisha habari yake NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Hafidhi hatanii anauwa kabisa wale wengine hawakuamini mwenzao mmoja amedondoka chini. Wawili kati yao wakaenda mbio kumfata wakapiga teknik za double mwanaume akapanchi na kudunda kifuani kwa mmoja na kuachia free kick kwa mwingine. wote chini akashika shingo zao na kunyonga. Watatu hao mpaka hapo majamaa wakatambua kumbe jamaa mwenyewe ndio huyu. Wakajipanga na kumfata kwa pamoja. Nae akaja kwa speed akajampu na kwenda juu kitendo cha k…