MTAA WA TATU (14)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Ikiwa ishakatika wiki moja sasa tokea Hafidhi afanye mauwaji na kukimbilia maeneo ya Keko luanga akaweza kupata Hifadhi kwa jimama moja hivi. Na kuishi hapo kwa kujificha “Hivi Zuwena hiyo tabia ya kutoka na vitoto vidogo utaacha lini?" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Mama Asia aliulizwa hivyo na rafiki yake kipenzi basi akajibu kwa kubetua midomo juu. “kwani wewe inakuhusu nini?" Kwanza mtoto kwa mama yake au ujui kama mtoto wa mwenzio kwako ni mkubwa mwenzako. Kwanza hanipwelepweti bibi wewe kitu kinakaza penyewe Kama unamavi kanye kichaka kile pale ha!ha!ha!ha!ha wakati wanaongea Hafidhi nae akatoka n…